Job 21:14-15

14 aLakini humwambia Mungu, ‘Tuache sisi!’
Hatuna haja ya kufahamu njia zako.
15 bMwenyezi ni nani hata tumtumikie?
Tutapata faida gani kumwomba?
Copyright information for SwhNEN